Ufaransa Yakubali Kuitangaza Zanzibar Kiutalii

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UFARANSA imeahidi kuitangaza Zanzibar kiutalii nchini mwake kupitia makampuni yake makubwa ya kitalii yaliopo nchini humo sambamba na kuendelea kuziunga mkono sekta nyengine za maendeleo za hapa nchini. Balozi mpya wa Ufaranza nchini Tanzania, Malika Berak aliyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwemyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, …