Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI imesema dhamira yake ya kujenga uchumi wa viwanda nchini imejengwa kupitia maeneo ya vipaumbele ambayo yataanza kutekelezwa katika bajeti ijayo ya mwaka wa fedha 2016/2017 kwa kutumia malighafi zipatikana nchini ikiwemo mzao ya misitu, kilimo, uvuvi na madini ili kuwahudumia wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango alipokuwa akiongea …