BOT Kuimarisha Mfumo wa Utoaji Taarifa za Uchumi na Fedha

Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa wananchi kushiriki katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo endelevu. Hayo yamesemwa leo mjini Bagamoyo na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Juma Reli wakati akifungua Semina kwa waandishi wa habari za Uchumi na Fedha …