Baraza la Ushindani Lawataka Watanzania Kulitumia kukuza Uchumi

Na Hassan Silayo-MAELEZO Baraza la ushindani limewataka wananchi kulitumia Baraza hilo kwa manufaa ya Taifa na ustawi wa uchumi nchini. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Uchumi Nzinyangwa Mchany wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. “Baraza la ushindani lipo kwa ajili ya watu wote hivyo wananchi hawana budi kulitumia kwa manufaa …

Rais Kikwete Afungua Mkutano wa ESRF Kujadili Uchumi

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)  nchini, Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi …