Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida Mjini. Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika …
Wanawake Watakiwa Kugombea Uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Anna Nkinda – Maelezo, Nachingwea WANAWAKE nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma …
Ratiba ya CCM Maandalizi Uchaguzi Serikali za Mitaa
RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA TAREHE SHUGHULI 19/10/2014 – 22/10/2014 Mikutano ya Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya kuelimishwa na kuhamasishwa kuhusu Uchaguzi. 23/10/2014 – 25/10/2014 Kuchukua na kurejesha Fomu za kuomba kugombea Uenyekiti wa Mtaa, Kijiji, Kitongoji na Ujumbewa Serikali za Vijiji na Mitaa kwa Makatibu wa Matawi ya CCM. …
- Page 2 of 2
- 1
- 2