Uchaguzi Katavi Wafanyika na Changamoto

Na Kibada Kibada -Katavi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa Katika Mkoa wa Katavi umekamilika kwa wananchi kujitokeza kupiga kura kwa kufuata taratibu kanuni na sheria zinazoongoza uchaguzi wa serikali za Mitaa ingawa kulikuwa na changamoto za hapa na pale kama kuchelewa kufika kwa karatasi za kupigia kura na vituo vingine uchaguzi kuahirishwa dakika za mwisho kutokana na Mgombea kukosa Sifa …

Maandalizi Uchaguzi Serikali za Mitaa Yakamilia…!

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mtaa (Tamisemi), Jumanne Sagini, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo. Kushoto ni  Mkurugenzi Msaidizi Idara za Serikali za Mitaa, ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Denis Bandisa.   Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali …