Watanzania Waishio Nje ya Nchi Kutopiga Kura – Pinda

*Waziri Mkuu aomba Watanzania waiombee nchi yao   WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.   Ametoa kauli hiyo Aprili 11, 2015 wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi …