Dk. Magufuli, Bilal Wapiga Kura, Pinda Azungumzia Uchaguzi Mkuu…

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015. (PICHA NA MWANDISHI WETU). WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema anaamini kwamba uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani unaoendelea nchini kote leo, utafanyika wa amani na utulivu. Akizungumza mara baada ya kupiga kura leo asubuhi Oktoba …