TACCEO Yalaani Kukamatwa kwa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu

Kaimu Mkurugenzi wa LHRC, Imelda Urrio (wa tatu kutoka kushoto), akisisitiza jambo katika mkutano huo. Kutoka kulia na Mwanasheria wa LHRC, Halord Sungusia, Mwakilishi wa Taasisi ya YPC, Maria Kayombo na Mwakiliashi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melikizedeck Karol. Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale ASASI za Kiraia za Uangalizi wa Uchaguzi (TACCEO), pamoja na Kituo …

NEC Yamtangaza Dk Magufuli wa CCM Mshindi wa Urais Tanzania

*Awasili Ikulu Kupongezwa na JK Na Joachim Mushi, Dar es Salaam TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa rais uliofanyika Oktoba 25, 2015 baada ya kumalizika zoezi la kujumlisha matokeo ya kura za urais toka maeneo mbalimbali. Akitangaza matokeo …

Matukio Mbalimbali ya Upigaji Kura Uchaguzi Mkuu…!

 Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi.  Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala Kuu.  Hapa …

Tume ya Uchaguzi Yatoa Ratiba ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetangaza rasmi ratiba ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2015. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Jaji wa Rufaa Damian Lubuva uteuzi wa nafasi za wagombea unatarajiwa kuanza Agosti 21, 2015 vyama vyote vya siasa. Taarifa hiyo imesema uteuzi wa nafasi hizo …

Wanaharakati Ngazi ya Jamii Watoa Madai Uchaguzi Mkuu

Na Joachim Mushi, WANAHARAKATI Ngazi ya Jamii nchini wametoa madai kuelekea Uchaguzi Mkuu huku wakiiomba Serikali iharakishe mchakato wa uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura ili vijana wengi wanaostahili waweze kuitumia haki yao ya msingi ya kushiriki mchakato wa uchaguzi na ule wa kura ya maoni. Madai hayo yametolewa katika tamko lao lililotolewa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP …