UWT Mufindi Wampigia Magoti Bi. Mkini Kugombea Ubunge

Mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa, Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kumkubali  WAKATI joto  la Uchaguzi  Mkuu likiendelea  kushika kasi ndani ya Chama  Cha Mapinduzi (CCM) kwa  wanachama  wake kujitokeza kutia nia kuwania nafasi ya urais, ubunge na udiwani, umoja  wa wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umemuomba Mwenyekiti wa umoja huo Wilaya ya Mufindi, Marcelina …

Mwandishi wa Habari Uhuru Kugombea Ubunge

Na Fredy Mgunda, Iringa MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Frank Kibiki, ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa Habari leo  ofisini kwake, Kibiki amesema ni wakati wa vijana kushika hatamu kwa kuwania nafasi mbalimbali, ndani ya CCM na hatimaye kwenye umma wa watanzania. Kibiki ambaye ni …