Mgombea wa Ubunge CCM Afikishwa Mahakamani

  Na Mwandishi Wetu,Mbeya KESI ya  kijinai  inayomkabili mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mbeya Mjini, Sambwee Shitambala, imeendelea kusikilizwa jana katika  Mahakama ya Wilaya ya Mbeya.   Shitambala ambaye ni Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anatuhumiwa kwa kosa la kuvamia eneo linalodaiwa simali yake na kujenga kwenye eneo la kiwanja hicho mali ya mtu mwingine kinyume na …

Ubunge wa CCM Wawavuta Vijana Wengi Moshi

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo, akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi, Loth Ole Nesele katika ofis za chama hicho za Wilaya ya Moshi Mjini. Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Priscus Tarimo,akitoa maelezo yake kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini Donatha …