Binti wa Bloga Michuzi Aomba Ubunge Viti Maalum CCM Tabora

   Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana. Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamalizia muda wake sasa.   Binti wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada …

Kijana Edmund Rutaraka Ajitosa Ubunge Moshi Mjini

Na Dixon Busagaga SIKU chache baada ya kumalizika mchakato wa kumpata kada atakaye peperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kinyang’anyiro cha kumpata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makada wa chama hicho sasa wamerejea majimboni na kuanza harakati za kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea Ubunge. Hali hiyo inajitokeza katika Jimbo la Moshi mjini, baada ya vijana wa …

Mohammed Dewji: Ubunge Singida Sasa Basiiii…!

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida. MBUNGE wa Singida mjini na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amesema hatagombea ubunge wa …

Meya Jerry Slaa Atangaza Rasmi Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga

Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM, Diwani wa  kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akihutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi …