Ubalozi wa Japan Kujenga Hospitali na Shule ya Kisasa Monduli

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo. Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Masaki Okada akifafanua jambo wakati wa Mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward …