MCT Yaahidi Ushirikiano na Bloggers, Ubalozi Marekani Waunga Mkono

Na Mwandishi Wetu BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limekubali kuanza ushirikiano na uhusiano mzuri na Chama cha Bloggers Tanzania (TBN) mara kitakapo maliza mchakato wa usajili wake na kutambulika rasmi kisheria. MCT imesema kwa hatua ya kwanza itafanya mazungumzo na viongozi wa TBN na kujadiliana namna gani ya kuisaidia TBN. Kauli hiyo imetolewa juzi jijini Dar es Salaam na Katibu …