Zoezi la Uandikishaji BVR Dar Changamoto Lukuki

Na Mwandishi Wetu WAKATI zoezi la uandikishaji wapigakura likianza leo maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam tayari yameanza kujitokeza mapungufu kwa baadhi ya waandikishaji kukosa umakini hasa wa uandikaji majina katika mfumo huo, huku pia kukiwa na baadhi ya watu ambao sio raia wakijitokeza kutaka kujiandikisha, jambo ambalo huenda likasababisha kuandikishwa kwa watu wasiostahili katika zoezi hilo. Mfano katika …