TWPG Yawapiga Msasa Wabunge Dodoma

UMOJA wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba wamezungumzia juu ya umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba Mpya na masuala muhimu ya jinsia ya kuzingatiwa katika katiba.   Wito huo umetolewa 30 Agosti, 2014 wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo wakishirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba ili kutambua usawa …