CAF Yatoa Ratiba ya Fainali Michezo ya Afrika

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa ratiba ya fainali ya michezo ya Afrika (All African Games), ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kundi A pamoja na wenyeji Congo-Brazaville. Katika droo iliyochezwa leo makao makuu ya CAF – Cairo na kupanga makundi ya fainali hizo za michezo ya Afrika, Tanzania imepangwa kundi …