Twanga Pepeta Watumbuiza Maisha Club Dar

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.  Mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club maisha jijini dar. Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.

Msafiri Diof wa Twanga Pepeta Avunja Mayai Jukwaani

RAPA nyota na mwimbaji wa muziki wa dansi, Msafiri Diof ambaye kwa sasa amerudi katika Bendi ya Twanga Pepeta juzi aliwashangaza mashabiki wa bendi hiyo baada kupanda jukwaani na kuvunja mayai mawili mbele ya jukwaa akidai ni ishara ya kujikinga na nuksi zozote baada ya kurejea tena kwenye bendi hiyo. Diof alifanya vituko hivyo juzi wakati akitambulishwa rasmi na bendi …