Diamond Ampelekea Tuzo Rais Kikwete Ikulu

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na  kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba 23, 2014 . Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan hakuweza kufika Ikulu kuonana na Rais Kikwete siku hii.  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka …

IPTL Yaisaidia TASWA Milioni 20 Maandalizi ya Tuzo

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert …