Tatu Bora ya Tuzo za Watu 2015 Yatajwa, Kufanyika Mai 22

TUZO za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya Mai 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam. Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs. Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele. Kila mshindi atapokea tuzo …