Matukio Picha ya Tuzo za Muajiri Bora wa Mwaka 2015

  Mjasiriamali Binafsi wa Kampuni ya Malaika Investiment, Jeniffer Shigoli akipokea kikombe kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Dkt. Florens Turuka Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu,  na   . Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakipata selfie na vikombe vya ushindi walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka washindi wa jumla wa …