Tuzo za Wanafunzi Afrika Mashariki Kutolewa…!

   Aaron Ally (Dj Aaron Tanzania)Mratibu wa‘All-stars Students Awards Akiongea Kwenye Kipindi cha Morning Trumpet kuelezea tuzo hizo. Dj wa zamani wa Clouds FM, Aaron, yeye na Team yake (Ms Chiku Lweno, Mwl. Dany Mtanga) wameanzisha   Tuzo walizoziita All-stars Students Awards.  Hizo ni tuzo zitakazotolewa kwa wanafunzi wa shule za sekondari A-level na O-level za Afrika Mashariki. Alhamisi hii Dj Aaron alialikwa kwenye …

UN Tanzania Wapewa Tuzo Maonyesho ya 39 ya Sabasaba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika Maonesho ya 39 …

TAFA Yaomba Ufadhili Tuzo za Filamu

Na Anitha Jonas – MAELEZO SHIRIKISHO la Filamu Tanzania laanda Tamasha la Tuzo za Filamu (TAFA) linalotarajia kufanyika Mwezi Mei 2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam lenye lengo la kuonyesha wachezaji filamu chipukizi wanaofanya vizuri katika tansia ya filamu nchini. Hayo yamesemwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba alipotembelewa ofisini kwake na …

Majina Yatakayowania Tuzo za Watu 2015 Yatangazwa

MAJINA yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo. Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24. Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora: Mtangazaji wa redio …