Mgaya wa TUCTA Azifagilia Sheria za Kazi

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi (TUCTA) amezisifia sheria za kazi kwa kuwa zimesaidia kuleta mabadiliko katika Nyanja za utoaji wa haki kazini. Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Nicholaus Mgaya wakati wa Kikao cha tathmini ya utendaji kazi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi …