THE State owned Tanzania Telecomunications Limited TTCL, yesterday inked a 328bn or $182m deal with Huwei technologies aimed at helping the national telcom build its landline and mobile ICT networks. Speaking at the signing in Dar es salaam yesterday, the TTCL Chief Executive Oficer Dr Kamugisha Kazaura said the first part of the project will complete by June this year. …
TTCL Wawapa Misaada Wagonjwa wa Saratani Ocean Road
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imetoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Hospitali ya Wagonjwa wa Kansa Ocean Road ya jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuwasaidia wagonjwa hao kusherehekea Siku Kuu ya Chrismas pamoja na Mwaka Mpya. Misaada hiyo ni sehemu ya kampuni ya TTCL kuamua kushirikiana na jamii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni ishara ya kurejesha …
TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli, Kutoa Modem Bure
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu, huduma ambayo imetolewa kama ofa kwa wateja hasa katika kuelekea siku kuu za Chrismas na Mwaka mpya. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa …
Salio la TTCL Sasa Kupatikana kwa ‘Mobile Banking’
KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) sasa imerahisisha upatikanaji wa vocha zake baada ya kuingia makubaliano kuishirikiano na benki 13 nchini zinazotoa huduma zake pia kwa kupitia simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo sasa mteja wa TTCL ataweza kuongeza salio kupitia simu yake ya mkononi (TTCL top-up). Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Meneja Mipango na …