TTCL Yaiunganisha TBL Katika Mkongo wa Mawasiliano

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imekabidhi mradi wa kuiunganisha matawi 12 ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika huduma za mawasiliano ya sauti, intaneti pamoja na data ili kuviwezesha vituo hivyo kufanya kazi katika mfumo wa kisasa kimawasiliano jambo ambalo litaboresha utendaji kazi wa kampuni hiyo. Akikabidhi mradi huo leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mkuu wa …

TTCL Yatoa Msaada wa Compyuta 10 na Intaneti, Kusaidia Elimu

KAMPUNI ya simu Tanzania imetoa msaada wa komputa kumi pamoja na kifurushi cha internet ya bure yenye kasi ya 2Mbps kwa muda wa miezi sita kwa kituo cha Global Outreach Tanzania vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni ishirini laki moja na tisini na saba elfu mia sita ( Tshs.20, 197,600/=) ili kuendeleza juhudi zinazofanywa na Serikali na wadau wengine …

TTCL Kupeleka Mawasiliano Katika Vijiji 76

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imesaini mkataba na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wenye gharama ya USD 2,244,376/- milioni (sawa na Tsh 4.1/- bilioni) kwa ajili ya kupeleka mawasiliano ya simu katika kata 19, yenye vijiji 76. Kata hizo zinatakazonufaika na mradi huu ni pamoja na; Gelai Meirugoi, Arash na Olbalbal- Arusha, Mbondo – Lindi, Makame Shambarai na …

TTCL Yasaidia Kituo cha Watoto Yatima Mbagala

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa zawadi ya Siku Kuu ya Pasaka kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa ‘Yatima Group Trust Fund’. TTCL imekabidhi msaada huo wa mchele kilo 150, maharage kilo 100, unga sembe kilo 125, mafuta ya kula ndoo nne, maji katoni 25, juisi …