Na Joachim Mushi, Dar es Salaam KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imekabidhi mradi mkubwa wa Mkongo wa Mawasiliano ambao umeyaunganisha matawi yote ya Bohari ya Dawa Nchini (MSD) na Makao Makuu ili kufanya kazi zake kwa haraka na kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi mradi huo imefanyika leo Makao Makuu ya Ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam. Akikabidhi …
TTCL Mkoani Mbeya Waisaidia Sekondari ya Luswisi
Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya, James Mlaguzi akisoma taarifa ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo katika shule ya Sekondari Luswisi. Mbunge wa Ileje aliyemaliza muda wake, Aliko Kibona akitoa shukrani kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Luswisi kwa kampuni ya TTCL kutokana na msaada waliopokea. Mbunge na Meneja wakipongezana baada ya kukabidhiana Saruji na Mbao. Wanafunzi wa Shule …
TTCL Watoa Msaada wa Mifuko ya Saruji Kituo cha Yatima Madale
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa mifuko ya saruji kwa kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Mifuko hiyo 70 ya saruji imekabidhiwa juzi katika kituo hicho na Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David …
TTCL Yaendelea Kukuza Matumizi ya Mawasiliano na Tehama
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) sasa inayawezesha wateja wake ikiwa ni pamoja na kampuni, taasisi na ofisi za Serikali kupata mawasiliano ya intaneti sehemu ambazo ziko mbali na njia ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa njia ya Satelaiti. Akizungumza katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, Sabasaba, Ofisa Mtatuzi wa …