Salio la TTCL Sasa Kupatikana kwa ‘Mobile Banking’

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) sasa imerahisisha upatikanaji wa vocha zake baada ya kuingia makubaliano kuishirikiano na benki 13 nchini zinazotoa huduma zake pia kwa kupitia simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo sasa mteja wa TTCL ataweza kuongeza salio kupitia simu yake ya mkononi (TTCL top-up). Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Meneja Mipango na …