Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara …
TTCL Yaibuka Kidedea Tuzo za Ukaguzi Taarifa ya Fedha za NBAA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville (wa pili kushoto) baada ya TTCL kuibuka Washindi wa Pili kwa makampuni ya Biashara na Ushambazaji kwenye ukaguzi wa taarifa za fedha katika shindano lililoendeshwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi …
TTCL Yawaumbua TEWUTA, Yadai ni Wapotoshaji Wenye Maslahi Binafsi
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) jana dhidi ya Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL na kufafanua kuwa madai hayo si ya kweli zaidi ya upotoshaji wenye nia ovu ya kufanikisha malengo binafsi na kutaka kuikwamisha jitihada za TTCL katika …
TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015. Ofisa …
TTCL Waweka Wazi Mafanikio ya Mkongo Mkutano wa Connect 2 Connect
Na Mwandishi Wetu, TANZANIA inafanya mazungumzo na mataifa anuai ya Afrika zikiwemo nchini za Angola, Namibia pamoja na Zambia ili kuweza kuunganisha mkongo wa taifa na mikongo kutoka mataifa mengine ili iweze kupata huduma kwenye mikongo ya baharini iliyoko pwani ya Bahari ya Atlantiki lengo ikiwa ni kusaidia kupatikana kwa huduma hiyo katika nchi za katikati mwa Bara la Afrika. …