Matukio Picha Hafla ya Uchangiaji Bonnah Education Trust Fund

 Mgeni Rasmi katika hafla ya chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education (Bonnah Education Trust Fund), Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kuendesha harambee hiyo, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Zaidi ya sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo.  Katibu wa …