TRIA Yazinduliwa Rasmi Tanzania

KAMPUNI ya matangazo kwa kutumia vifaa tembezi yaani matangazo yanayotembea leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa habari pamoja na wageniwengine waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi ulifanyika katika hanga la shirika la ndege la Precision yenye makao makuu yake eneo la uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam, mkurugenzi mtendaji na muasisi wa TRIA, Trushar …