TRA Yawapa Elimu ya Kodi Wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha

KATIKA kuhakikisha kunakuwa na wasomi ambao wanakuwa na elimu kuhusu kodi, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imefanya uzinduzi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kodi (Student Tax Association) katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ambapo wanachama hao watatumika kutoka elimu kwa wananchi wengine kuhusu kodi. Akizungumza katika uzinduzi wa jumuiya hiyo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, …

TRA Kugawa Bure Mashine za EFD kwa Wafanyabiashara Wadogo Dar

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza utaratibu wa kuanza kuwagawia bure Wafanyabiashara wadogo na wakati Mashine za EFD kwa awamu. Akitoa taarifa hiyo kwa umma Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfayo Kidata alisema utaratibu wa kutoa mashine hizo kwa Wafanyabiashara wa Kati na Wadogo litafanyika kwa utaratibu waliouweka. Alisema katika awamu ya kwanza TRA itaanza kugawa Mashine …

Rais Magufuli ni Noma, TRA Yakusanya Trilioni 1.4 kwa Mwezi

Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO JUMLA ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015. Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la wastani wa shilingi bilioni 490 kwa mwezi ukulinganisha na wastani wa makusanyo ya kuanzia Julai hadi Novemba ambapo, TRA ilikuwa imekusanya wastani wa shilingi bilioni 900 kwa mwezi. Takwimu …

Naibu Waziri Fedha na Mipango Aomba Ushirikiano kwa Bodi na Uongozi TRA

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji ametembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufahamiana na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Uongozi wa TRA na kusisitiza msimamo wa serikali ya awamu ya tano katika suala zima la ukusanyaji wa mapato. Akizungumza wakati wa ziara yake katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya TRA, Dr. Kijaji pamoja na kutoa …