Maofisa wa TRA Wafikishwa Mahakamani, Wapelekwa Segerea…!

 Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka yao.  Hapa Masamaki na wenzake wakiingia ndani ya gari kuelekea gereza la Segerea.  Watuhumiwa wa kesi hiyo wakiingia ndani ya gari.    Mmoja wa watuhumiwa hao akiwa ndani ya gari la …

Waziri Mkuu Avamia Bandarini, Awasimamisha 5, Magufuli ‘Amtimua’ Boss TRA

 Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na viongozi wa TRA na TPA Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akikabidhi orodha ya makontena yaliyopotea na ambayo TRA haina taarifa nazo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa TRA na TPA. *Ni kwa upotevu wa makontena 349, yana thamani ya sh. bilioni 80/- WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa …

Wasambazaji Filamu Tanzania Waigomea Bodi ya Filamu, TRA…!

MJUMBE wa chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania, Bw Saleh Abdallah akizungumzia kauli moja waliyokubaliana kama wasambazaji kuwa Kuanzia tarehe 1 Julai 2015 wao kama watayarishaji na wasambazaji wa kazi za filamu Tanzania wamesitisha swala la kupeleka filamu zao bodi ya filamu kwaajili ya kukaguliwa wala kununua stika za TRA mpaka pale mamlaka husika zitakapokaa chini na kujadiliana kuhusu swala …

TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014. Bade anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Harry Kitilya ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba, 2013. Kabla ya uteuzi huo, Bade alikuwa Naibu Kamishna wa …