TPB Yazindua Mwezi wa Akiba

    BENKI ya Posta nchini (TPB) imezindua mwezi wa uwekaji akiba duniani inayokwenda sambamba na kampeni iliyopewa jina la “Asante Mteja”. Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi huo, Meneja wa benki ya TPB tawi la Kariakoo, Patrick Swenya alisema kuwa kampeni hiyo itaendeshwa nchi nzima katika matawi yao. Alisema, lengo la kampeni hiyo ni kuhamasisha wateja wa …

TPB Yatoa Mikopo kwa Vikundi vya SACCOS Kigoma

KATIKA jitihada za kuwafikia Watanzania wengi zaidi na kuwawezesha kiuchumi,Benki ya Posta Tanzania (TPB) imekabidhi mikopo kwa vikundi viwili vya SACCOS ambavyo ni TWCC Women SACCOS na Ishimwe Saccos Mkoani Kigoma. Mikopo hiyo miwili yenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 175 (milioni Mia Moja Sabini na Tano) , itawafaidisha vikundi vyenye jumla ya wanachama takribani 40 chini ya udhamini …

Mtendaji Mkuu TPB Awahimiza Watanzania Kujiwekea Akiba

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta ya Akiba, Kenya, Bi.Anne Karanja, (Katikati), na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Posta Uganda, Bw. Stephene Mukweli, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wan ne wa Bodi ya Wadhamini, ya Umoja wa Mabenki ya Afrika Mashariki, ASBEA, uliomalizika Novemba 13, 2015 kwenye Hoteli ya …

TPB Yasaidia Shule ya Msingi Gedeli, Mwanza

Na Mwandishi Wetu BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mwanza, imetoa msaada wa madawati 40, meza 5 na viti 10 yenye thamani ya Sh milioni 5 kwa Shule ya Msingi Gedeli iliyopowilaya ya Nyakato, Mwanza. Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Posta, Regina Semakafu, alikabidhi msaada huo jana kwa Kaimu Afisa Elimu Kizito Bahati wa Wilaya hiyo kwa niaba …

Benki ya Posta Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara Mbeya

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, imetoa semina kwa Wajasiriamali wa mkoa ikiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi kwenye biashara zao. Semina hiyo ya siku moja imefanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya na kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya, Profesa Norman Sigallah. Akizungumza kwenye uzinduzi wa semina hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki …

TPB Yawapa Somo la Akiba Wanafunzi Sekondari ya Jangwani

  WAZAZI na walenzi wametakiwa kuwa na mazoea ya kuwawekea watoto wao akiba ili iweze kuwasaidia katika mambo mbalimbali ikiwemo elimu.   Mwito huo umetolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Nchini (TPB) Sabasaba Moshingi, wakati wa semina iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani.   Alisema, katika kuadhimisha miaka 90 ya siku …