Vua Kubwa Zenye Madhara Kuendelea Kunyesha Nchini – TMA

    Wana habari wakiwa kwenye mkutano huo. SIKU moja baada ya mvua kubwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini na kuleta madhara Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa za vipindi. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk. Agness Kijazi Dar es Salaam jana wakati akiwasilisha tathmini ya mvua …

TMA Yawatahadharisha Wakazi Ukanda wa Pwani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa ukanda wa Pwani kuchukua tahadhari ya uwezekano wa kuvuma upepo mkali utakaoambatana na mawimbi makubwa ambayo huenda yakaleta madhara kwa wakazi hao. Hali hiyo inatarajia kujitokeza kati ya Septemba Mosi, 2014 hadi Septemba 2, 2014. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA kwa vyombo vya habari maeneo ambayo yanatarajiwa kuathiriwa …