Timiza Ndoto Yako kwa Kuuza Bidhaa Zako Mtandaoni

*Soko la kwanza kwa njia ya mtandao limefunguliwa – Huessein Idd, muhitimu wa fani ya Teknolojia ya Mawasiliano, anauza vifaa vya umeme kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Kaymu. ANAITWA Hussein Idd, muhitimu wa fani ya Teknolojia ya Mawasiliano katika chuo cha Learn IT. Mapenzi yake kwa Teknolojia ya Mawasiliano hayakuishia chuoni, bali yaliendelea hadi katika kufungua biashara yake …