Tigo Yawazawadia Washindi wa Digital Changemakers USD 40,000

   Mkurugenzi wa Kampuni ya simu za mkononi Tigo, Diego Gutierrez akiongoea na wanahabari. wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya dola elfu 20 za kimarekani kwa kila mmoja kwa washindi wawili wa shindano la Tigo Digital Changemakers leo, Tigo kushirikiana na taasisi ya Reach for change ndio waliondaa shindano hilo.Pembeni Meneja Programu  wa Reach for Change Tanzania Josephine Msambichaka na Meneja Huduma za …

Tigo Mkoani Mbeya Yafuturisha Wakazi…!

 Baadhi ya wakina dada wakiwa wamejiweka sawa kuwapokea wageni mbalimbali ambao walifika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya kwa ajili ya Kufuturu  Baadhi ya wadau wakiwa wanangoja muda wa kufuturu ufike   Bw. Francis Mwasamwene Meneja wa Mauzo Tigo Mkoa wa Mbeya ambaye pia alikuwa mratibu wa kufanikisha Shughuli hii ya Kuwafuturisha wakazi wa Mbeya akiongea Machache. Meneja wa Tigo Pesa Kanda …

Tigo Kutumia Bilioni 221 Kupanua Mtandao Wake

 Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Cecile Tiano akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu  mipango ya kampuni hiyo kwa mwaka 2015 ambapo imepanga kuwekeza sh. bilioni 221 katika mtandao wake kwa mwaka 2015. Kulia ni Meneja  Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.   KAMPUNI ya simu ya Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi …