KAMPUNI ya Azam Media Limited, leo imetangaza kuwa Tido Mhando ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Uhai Production Ltd.(UPL). Tido, anaungana na Rhys Torrington ambaye ni Mkuregenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd na mtangazaji huyo maarufu wa mpira zamani nchini, Mhando ataanza majukumu yake mara moja, ikiwa jukumu lake kubwa ni utengenezaji na uboreshaji wa vipindi vya kitanzania katika televisheni …