Na Beatrice Lyimo – Maelezo. BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala latoa tamko kuhusu vipindi na matangazo yote ya tiba asilia na tiba mbadala yanayoonyeshwa kwenye vyombo vya habari hapa nchini kuwa ni batili yenye kupotosha na yasiyo na vibali. Akizungumza na waandishi leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Baraza hilo Profesa Rogassian Mahunnah alisema kuwa, baraza hilo …