Serikali yamshtukia Dk. Mwaka, ni kwa ‘Kudanganya’…!

Na Ally Daud-Maelezo SERIKALI imefungia kituo cha tiba asilia cha Foreplan kinachomilikiwa na Tabibu Juma Mwaka Juma kwa kukiuka masharti ya kibali alichopewa kwa kujitangaza kuwa anatoa tiba za kisasa badala ya matibabu ya asilia. Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti Wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Dk. Edmund Kayombo amesema kuwa kituo …

Serikali Yasitisha Vibali vya Matangazo Tiba Asili

SERIKALI imesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari baada ya kubaini kuwa yanapotosha jamii. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala kwa vyombo vya habari jana, inaeleza kuwa katika siku za karibuni kumekuwapo na matangazo mbalimbali ya tiba hizo ambayo baadhi yake hayaisaidii jamii. Kutokana na taarifa …