VITA dhidi ya mapambano ya vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania havina budi kuungwa mkono na makundi yote kutokana na umuhimu wake. Hali hii ni kutokana na kwamba madhara ya ukatili katika jamii yanaathiri jamii nzima bila kujali jinsia. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay katika Maadhimisho …
Christian Bella, Vanessa Mdee Kutumbuiza Mjadala TGNP
Na Mwandishi Wetu MSANII nyota wa dansi nchini Tanzania, Christian Bella pamoja na Vanessa Mdee wa miondoko ya bongo fleva wanatarajia kutumbuiza katika mjadala wa wazi utakaofanyika Desemba 3, 2014 ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi wa …
TGNP Kufanya Mjadala wa Wazi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili
TGNP Mtandao ni asasi ya kiraia isiyokuwa na mrengo wa kidini iliyoanzishwa na kusajiliwa zaidi ya miaka 20 iliyopita ikijihusisha na mapambano ya kuleta usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake na makundi mengine yalioko pembezoni kwa njia ya ushawishi na utetezi, machapisho na mafunzo kwa njia mbalimbali kupinga ukatili wa kijinsia na kuleta mabadiliko ya kijamii kama sehemu ya haki …
TGNP Yatoa Tamko Juu ya Upungufu wa Dawa, Vitendea Kazi…!
TGNP Mtandao imefuatilia kwa karibu taarifa mbalimbali za hivi karibuni kuhusu upungufu wa dawa na vitendea kazi katika taasisi za afya ikiwemo hospitali, vituo vya afya na zahanati humu nchini. Hali hii imetokana na Bohari ya Dawa (MSD) kusitisha utoaji wa dawa muhimu kwa taasisi za afya za serikali hadi hapo deni la shilingi bilioni 90 linalodaiwa na bohari hiyo …
- Page 2 of 2
- 1
- 2