TFF Yambana Michael Wambura, Rufani Yake Yakwama

KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.   Wambura aliwasilisha rufani yake mbele ya Kamati hiyo iliyokutana Juni 19 mwaka huu jijini Dar es Salaam chini ya Kaimu Mwenyekiti Wakili Mwita Waissaka kupinga uamuzi …