TFF Yaandaa Futari kwa Wadau wa Michezo

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho Julai 17 mwaka huu kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu. Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.   Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu …