TFF Yamuweka Kikaangoni Jerry Muro wa Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litamfikisha kwenye Kamati ya Maadlili mapema Mwakani baada ya sikukuu ya mwaka Mpya 2016, Mkuu wa Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Jerry Muro kutokana na kauli zake za kibaguzi dhidi ya Mkuu wa Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litamfikisha kwenye Kamati ya Maadlili mapema …

Kombe la Shirikisho Kuanza Novemba 8

MICHUANO ya Kombe la Shirikisho ya Azam Sports inafunguliwa rasmi Novemba 8, 2015 kwa mechi tatu zitakazochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti. Mechi rasmi ya ufunguzi itakuwa kati ya wenyeji JKT Rwamkoma ya Mara na Villa Squad ya Dar es Salaam itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma. Siku hiyo pia kutakuwa na mechi kati ya Kariakoo ya Lindi …

Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea Istambul Uturuki kwa kambi ya wiki moja. Taifa Stars imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Oman tarehe 24 Agosti, 2015 usiku, ambapo baada ya mchezo huo timu itasafiri kuelekea …

TFF Yamtimu Mart Nooij Stars na Kumtangaza Mkwasa

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania – TFF, Jamal Malinzi ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), mholanzi Mart Nooij na kumtangaza Charles Mkwasa kuwa kocha mpya wa timu hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika …

TFF Yazinduwa Jenzi Mpya, Saba Wateuliwa CAF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili. Uzinduzi huo wa jezi mpya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro jengo la Golden Jubilee uliambatana na uziduzi wa tovuti mpya ya shirikisho, uliongozwa na mgeni rasmi Said Mtanda, mbunge wa jimbo la Mchinga …

Kauli ya Jerry Muro Yamponza, TFF Yampiga Faini Mil. 5

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF. Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, …