Movemba: Kampeni ya Mwamko Dhidi ya Kansa ya Tezi Dume

KATIKA mwezi wa Novemba kila mwaka jumuiya za kimataifa huadhimisha tukio ambalo hujulikana kama Movemba. Kampeni hiyo inahusisha kukuza kwa masharubu, kukusanya fedha na kuleta mwamko na ufahamu wa masuala ya afya kwa wanaume kama vile kansa ya tezi dume, kansa ya pumbu na saratani nyingine nyingi zinazowapata wanaume. Jina hiloni mchanganyiko wa neno “masharubu” na “Novemba”. Kampeni hiyo ya …