Rais Kikwete ‘Atimua’ na Kuteua Wakuu wa Mikoa, Ma-Katibu, Ma-DC Waguswa…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mjini Dodoma, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu …