Na Ally Daud, MAELEZO-Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa Tsh. Milioni 60 kutoka kwa Balozi wa China nchini, Lu Youqing ikiwa ni mchango wa Serikali yao kwa ajili ya ukarabati wa shule zilizoharibika kutokana na tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera tarehe 10 Septemba, mwaka huu. Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo leo jijini Dar …
Wafanyabiashara Kariakoo Watoa Mil 60 kwa Waathirika Tetemeko Kagera
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wafanyabiashara wa Kariakoo, akizungumza jijini Dar es Salaam, baada ya kupokea michango ya fedha na vifaa kutoka kwa wanachama wa jumuia hiyo kwa ajili ya walioathirika kwa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Jumla walichanga fedha na vifaa vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 60.7. Katibu wa JWK, Mtaa wa Raha Square, Frank Nduta …
Waziri Makamba Awatembelea Waathirika Tetemeko la Ardhi Kagera
Na Benedict Liwenga-WHUSM, Bukoba. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba amewatoa wasiwasi waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea Wilayani Bukoba Mkoani wa Kagera. Mhe. Makamba ameyasema hayo leo mkoani Kagera wakati wa ziara yake ya kutembelea maeneo mbalimbali yaliyokumbwa na tetemeko hilo kwa lengo la kuwapa pole waathirika na kuwap …
Waziri Jenista Mhagama Ataka Misaada Waathirika wa Tetemeko Kusimamiwa
Na Beatrice Lyimo, MAELEZO WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama amewataka Viongozi wa Serikali mkoani Kagera kuhakikisha wanasimamia matumizi sahihi ya vifaa vya misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea hivi karibuni mkoani humo. Waziri Jenista aliyasema hayo leo wakati alipotembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kukagua taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo shule za msingi ileega …