WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameuagiza uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kuhakikisha wanaweka mipango madhubuti ya kuongeza mapato katika vivuko vya MV. Kigamboni na MV. Magogoni kutoka Shilingi Milioni 14 ambazo zinakusanywa hivi sasa hadi kufikia Milioni 19 kwa siku. Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kukagua vivuko …
Waziri Prof Mbarawa Akagua Ukarabati Vivuko Dar, Kukamilika Agosti…!
Waziri Prof Mbarawa Akagua Ukarabati Vivuko Dar, Kukamilika Agosti…! WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amekagua ukarabati na Ujenzi wa Vivuko vya MV. Magogoni na MV. Pangani na kuwataka wajenzi wa vivuko hivyo kuhakikisha vinakamilika kwa wakati. Akizungumza mara baada ya kuvikagua Vivuko vya Old MV- Magogoni na Ujenzi wa vivuko vipya vya Pangani na New Magogoni, …
Prof Mbarawa Afungua Kikao cha TEMESA, Akagua Ujenzi Daraja Ruvu Chini
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amewataka Watendaji wakuu, Mameneja na Wazalishaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kutumia maarifa na taaluma zao ili kuboresha utendaji kazi wa wakala huo na kuongeza mapato. Akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha TEMESA Taifa mkoani Morogoro, Prof. Mbarawa amewataka watendaji wa temesa kubadili mfumo wa utendaji na kufanya …
Mafundi TEMESA Wafundwa Juu ya Usimamizi na Ukaguzi Mazingira
MAFUNDI sanifu wa Wakala wa Umeme na Ufundi (TEMESA), kutoka mikoa mbalimbali nchini wameaswa juu ya umuhimu wa tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira katika maeneo yao ya kazi ili kuweza kudhibiti athari za mazingira zinazowakabili na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi …