JITIHADA kubwa za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji wa Tanzania zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer. Maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika eneo la Ranchi ya Mzeli, mkoani …
Ijue Teknolojia Mpya Katika Sekta ya Rangi
KUFUATILIA kukua kwa teknolojia ya kompyuta kwa sasa sekta tofauti tofauti zimeweza kuchukua fursa hiyo na kuitumia ipasavyo katika maeneo ya msingi; sekta ya upakaji rangi pengine ni moja kati ya ambazo mtu hawezi kuzihusisha moja kwa moja na maendeleo hayo ila hata hivyo imeweza kuendana na mabadiliko na kuitumia teknolojia katika hatua tofauti tofauti kuanzia viwandani mpaka maeneo ya …
Sekta ya Sayansi na Teknolojia Yaonesha Mafanikio
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwenye semina ya siku mbili iliyohusu matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuinua uchumi kupitia viwanda na uhifadhi wa mazingira na Sekta ya Umma kuimarisha ubunifu kwenye Sayansi hai. Mkurugenzi wa Kampuni ya Banana Envestment ya …