DK SASABO AHIMIZA MATUMIZI YA TEHEMA DODOMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, amezungumzia umuhimu wa taasisi za umma zilizo chini ya mradi wa Benki ya Dunia kuhakikisha mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), iliyofungwa inafanyakazi mara moja ili kuongeza tija na ufanisi katika kuhudumia wananchi. Akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua ufanisi wa matumizi ya …

Serikali Yaunda Kamati Kuanzisha Tume ya TEHAMA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameunda Kamati ya mpito ya kusimamia uanzishwaji wa Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambapo ameipa miezi sita kufanya kazi kuanzia mwezi Aprili, 2016 ya kuhakikisha kuwa Tume ya TEHAMA inaanza kazi rasmi. Katika kuhakikisha kuwa Tume ya TEHAMA inaanza kazi mara moja, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, …

Wanataaluma ya TEHAMA Watakiwa Kuzingatia Maadili

Na Aron Msigwa -MAELEZO, ARUSHA SERIKALI imewataka watalaam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) walio katika utumishi wa umma nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia maadili, weledi na ubunifu ili kuwawezesha wananchi kupata huduma za serikali kwa njia ya mtandao katika maeneo mbalimbali na kuondoa malalamiko yanayotokana na utoaji wa huduma usiokidhi viwango. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Arusha …

Kamishna wa Elimu Ataka Viwango vya Umahiri Tehama kwa Wakufunzi Kupanda

Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu linalofanyika mjini Bagamoyo. KAMISHINA wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa amesisitiza haja ya kuhakikisha kwamba viwango vya umahiri vya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo …

TTCL Yaendelea Kukuza Matumizi ya Mawasiliano na Tehama

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) sasa inayawezesha wateja wake ikiwa ni pamoja na kampuni, taasisi na ofisi za Serikali kupata mawasiliano ya intaneti sehemu ambazo ziko mbali na njia ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa njia ya Satelaiti. Akizungumza katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, Sabasaba, Ofisa Mtatuzi wa …