Profesa Sospeter Muhongo Atangaza Kujiuzulu Leo

TAARIFA ambazo mtandao wa dev.kisakuzi.com umezipata ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameamua kujiuzulu nafasi yake. Profesa Muhongo ametangaza hatua hiyo leo asubuni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam. akitangaza kujiunzulu mbele ya waandishi wa habari mapema leo Jumamosi Januari 24, 2015 makao makuu …